Revelation of John 14:20

20 aLile shinikizo likakanyagwa nje ya mji, nayo damu ikatiririka kama mafuriko kutoka hilo shinikizo kufikia kimo cha hatamu za farasi,
Kimo cha hatamu za farasi ni kama mita moja na nusu.
kwa umbali wa maili 200.
Maili 200 ni sawa na kilomita 320.


Copyright information for SwhNEN